The Crisis Resolving Center (CRC), or Kituo cha Usuluhishi in Kiswahili language, is a Non Governmental Organization which was established and registered in 2007 with the aim of promoting and protecting human rights, particularly women and children's rights.
Tuesday, 21 November 2017
LSF YACHANGIA MIAKA 30 YA TAMWA
Legal service Facility (LSF) watoa mchango
mkubwa kwa kununua kitabu cha TAMWA cha miaka
30 kwa kiasi cha shilling millini moja na laki moja, legal service facility,
imeshafanya kazi na TAMWA katika miradi kuwajenge uwezo wadau kuweza kuongea na
vyombo vya habari katika mikioa ya Morogoro, Kilimanjaro na Ilala na inafanya kazi na CRC katika mradi unaotekelezwa na kituo cha
usuluhishi ambapo umelenga kutoa huduma ya ushauri nasihi na msaada wa kisheria
kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia katika kata ya makumbusho, kawe na saranga
jijini dare s salaam.
Ramadhani Masele mwakilishi wa LSF akikabidhiwa kitabu cha miaka 30 ya TAMWA na mgeni rasmi Dr Harison Mwakyembe
Subscribe to:
Posts (Atom)
CRC YATOA MSAADA WA KISHERIA KWA WANANCHI MAKUMBUSHO
Kituo cha usuluhishi na Upatnishi (Crisis Resolving Center – CRC) kimetoa huduma ya siku mbili inayojulikana kama huduma ya mkono kwa mkono...
-
TAAnet Secretary General, Gladness Munuo (right) and Dr. Kissah Mwambene,Secretary General for Mental Health Association of Tanzania
-
Kituo cha usuluhishi na Upatnishi (Crisis Resolving Center – CRC) kimetoa huduma ya siku mbili inayojulikana kama huduma ya mkono kwa mkono...