Tuesday, 21 November 2017

LSF YACHANGIA MIAKA 30 YA TAMWA

Legal service Facility (LSF)  watoa mchango mkubwa kwa kununua kitabu cha TAMWA  cha miaka 30 kwa kiasi cha shilling millini moja na laki moja, legal service facility, imeshafanya kazi na TAMWA katika miradi kuwajenge uwezo wadau kuweza kuongea na vyombo vya habari katika mikioa ya Morogoro, Kilimanjaro na Ilala  na inafanya kazi  na CRC katika mradi unaotekelezwa na kituo cha usuluhishi ambapo umelenga kutoa huduma ya ushauri nasihi na msaada wa kisheria kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia katika kata ya makumbusho, kawe na saranga jijini dare s salaam.


Ramadhani Masele  mwakilishi wa LSF  akikabidhiwa kitabu cha miaka 30 ya TAMWA na mgeni rasmi Dr Harison Mwakyembe 

No comments:

Post a Comment

CRC YATOA MSAADA WA KISHERIA KWA WANANCHI MAKUMBUSHO

Kituo cha usuluhishi na Upatnishi  (Crisis Resolving Center – CRC) kimetoa huduma ya siku mbili inayojulikana kama huduma ya mkono kwa mkono...