The Crisis Resolving Center (CRC), or Kituo cha Usuluhishi in Kiswahili language, is a Non Governmental Organization which was established and registered in 2007 with the aim of promoting and protecting human rights, particularly women and children's rights.
Thursday, 14 December 2017
JE, MWANANCHI UNAITAJI HUDUMA HIZI…!
JE, UNAITAJI HUDUMA HIZI…!
-MSAADA WA KISHERIA
-USHAURI NASIHI
-HUDUMA ZA DAWATI LA JINSIA (CHINI YA JESHI LA POLISI)
KITUO CHA USULUHISHI, CRC KINAKULETEA HUDUMA HIZO BORA ZA PAMOJA NA BURE. NA KWA WAKAZI WA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM HUDUMA HIZI ZITAKUWA MTAANI KWAKO, KUANZIA DESEMBA 14-15, 2017. MAHALI NI OFISI YA MTENDAJI WA KATA YA KAWE (KAWE-KANISANI). KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI HADI SAA TISA ALASIRI.
KWA MAWASILIANO TUPIGIE: 0762625523, KWA MSAADA WA USHAURI ZAIDI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
CRC YATOA MSAADA WA KISHERIA KWA WANANCHI MAKUMBUSHO
Kituo cha usuluhishi na Upatnishi (Crisis Resolving Center – CRC) kimetoa huduma ya siku mbili inayojulikana kama huduma ya mkono kwa mkono...
-
Kituo cha usuluhishi na Upatnishi (Crisis Resolving Center – CRC) kimetoa huduma ya siku mbili inayojulikana kama huduma ya mkono kwa mkono...
-
SERIKALI imetakiwa kuongeza idadi ya vituo vinavyotoa huduma ya pamoja kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia ‘One Stop Center’ ili kuwasaidia ...
-
BAADHI ya wananchi wanaoishi Kata ya Saranga eneo la Kimara Temboni jijini Dar es Salaam wamejitokeza kupata huduma za pamoja kwa ...
No comments:
Post a Comment